Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Zeal: Ungodly men sometimes pretend to

2 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu Ungodly men sometimes pretend to

  1. Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya Bwana.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake.

  2. “Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Ninyi mnasafiri baharini na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja mwongofu, lakini baada ya kumpata, mnamfanya mwana wa jehanamu mara mbili kuliko ninyi!