Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Zeal: In desiring the salvation of others

2 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu In desiring the salvation of others

  1. Paulo akasema, “Ikiwa ni kwa haraka au la, namwomba Mungu, si wewe peke yako bali pia wale wote wanaonisikiliza leo, wawe kama mimi nilivyo, kasoro minyororo hii.”

  2. Ndugu zangu, shauku ya moyo wangu na maombi yangu kwa Mungu ni kwa ajili ya Waisraeli, kwamba waokolewe.