Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Years: Weeks

2 mistari · 19 vipengele

Tafuta "Years"

Mistari kuhusu Weeks

  1. Mtawala huyo atathibitisha agano na watu wengi kwa juma moja. Katikati ya juma hilo atakomesha dhabihu na sadaka. Mahali pa dhabihu katika Hekalu atasimamisha chukizo la uharibifu, hadi mwisho ulioamriwa utakapomiminwa juu yake yeye aletaye uharibifu.”

  2. Mimi nafunga mara mbili kwa juma, na natoa sehemu ya kumi ya mapato yangu.’