Mistari ya Biblia kuhusu Wicked: God is angry with
Mistari kuhusu God is angry with
Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, unawachukia wote watendao mabaya.
Unawaangamiza wasemao uongo. Bwana huwachukia wamwagao damu na wadanganyifu.
Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.
Kama vile ilivyoandikwa, “Nimempenda Yakobo, lakini nimemchukia Esau.”
Lakini Mungu hakupendezwa na wengi wao, kwa hiyo miili yao ilitapakaa jangwani.