Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Weights: All metals were given by

2 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu All metals were given by

  1. Akatengeneza kinara hicho cha taa pamoja na vifaa vyake vyote kutumia talanta moja ya dhahabu safi.

  2. Akamwagizia uzito wa dhahabu kwa ajili ya vitu vyote vya dhahabu vya kutumika katika huduma mbalimbali, uzito wa fedha kwa ajili ya vitu vyote vya fedha vya kutumika katika huduma mbalimbali.