Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Vows: Of Jephthah

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu Of Jephthah

  1. Naye Yefta akaweka nadhiri mbele za Bwana akisema, “Ikiwa utawatia Waamoni mikononi mwangu,

  2. chochote kile kitakachotoka katika mlango wa nyumba yangu cha kwanza ili kunilaki nirudipo kwa amani katika kuwashinda Waamoni, kitakuwa ni cha Bwana na nitakitoa kuwa sadaka ya kuteketezwa.”