Ramathaim-zophim
31.8300, 35.1800 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Ramathaim-zophim
Kulikuwepo na mtu mmoja kutoka Rama, Msufi kutoka nchi ya vilima vya Efraimu, ambaye jina lake aliitwa Elikana mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu.