Skip to content

Jeroham

3 mistari · 2 wanafamilia

Mistari inayomtaja Jeroham

  1. Kulikuwepo na mtu mmoja kutoka Rama, Msufi kutoka nchi ya vilima vya Efraimu, ambaye jina lake aliitwa Elikana mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu.

  2. Nahathi akamzaa Eliabu, Eliabu akamzaa Yerohamu, Yerohamu akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Samweli.

  3. mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa,