Nahath
Anajulikana pia kama: Tohu, Toah
Mistari inayomtaja Nahath
Kulikuwepo na mtu mmoja kutoka Rama, Msufi kutoka nchi ya vilima vya Efraimu, ambaye jina lake aliitwa Elikana mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu.
Ahimothi akamzaa Elikana, Elikana akamzaa Sofai, Sofai akamzaa Nahathi,
mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elieli, mwana wa Toa,