Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Visions: An audible voice from heaven

3 mistari · 32 vipengele

Mistari kuhusu An audible voice from heaven

  1. Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono: “Usiogope, Abramu. Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.”

  2. Kisha Bwana akamwita Samweli. Samweli akajibu, “Mimi hapa.”

  3. Naye akakimbia kwa Eli na kumwambia, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” Lakini Eli akasema, “Sikukuita; rudi ukalale.” Hivyo akaenda kulala.