Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Truth: Should be believed

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Should be believed

  1. na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.

  2. Lakini imetupasa sisi kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu, ndugu mpendwao na Bwana, kwa sababu Mungu aliwachagua ninyi tangu mwanzo ili mwokolewe kwa kutakaswa na Roho kwa kuiamini kweli.

  3. Wao huwakataza watu wasioe na kuwaagiza wajiepushe na vyakula fulani, ambavyo Mungu aliviumba ili vipokewe kwa shukrani na wale wanaoamini na kuijua kweli.