Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Truth: Serve God in

2 mistari · 73 vipengele

Tafuta "Truth"

Mistari kuhusu Serve God in

  1. “Sasa basi mcheni Bwana na kumtumikia kwa uaminifu wote. Itupeni mbali miungu ambayo baba zenu waliiabudu huko ngʼambo ya Mto Frati na huko Misri, nanyi mtumikieni Bwana.

  2. Lakini hakikisheni mnamcha Bwana na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote; tafakarini mambo makubwa aliyoyatenda kwa ajili yenu.