Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Troas

6 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa.

  2. Tukasafiri kwa njia ya bahari kutoka Troa na kwenda moja kwa moja hadi Samothrake, kesho yake tukafika Neapoli.

  3. Hawa watu walitutangulia wakaenda kutungojea Troa.

  4. Lakini sisi tukasafiri kwa njia ya bahari kwa siku tano kutoka Filipi baada ya siku za Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, nasi tukaungana na wengine huko Troa, ambako tulikaa kwa siku saba.

  5. Basi nilipofika Troa kuhubiri Injili ya Kristo na kukuta kwamba Bwana alikuwa amenifungulia mlango,

  6. Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa na vile vitabu vyangu, hasa vile vya ngozi.