Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tribe Of Ephraim: Manasseh in taking Bethel

4 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Manasseh in taking Bethel

  1. Basi nyumba ya Yosefu wakashambulia Betheli, naye Bwana alikuwa pamoja nao.

  2. Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu),

  3. wale wapelelezi wakaona mtu anatoka mjini, nao wakamwambia, “Tuonyeshe jinsi ya kuingia mjini nasi tutakutendea wema.”

  4. Hivyo akawaonyesha, nao wakaupiga mji kwa upanga lakini wakamhifadhi hai yule mtu na jamaa yake yote.