Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tithe: The tenth of, offered by the Levites as an heave offering to God

2 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu The tenth of, offered by the Levites as an heave offering to God

  1. “Sema na Walawi na uwaambie: ‘Mtakapopokea zaka kutoka kwa Waisraeli ambayo ninawapa kama urithi wenu kutoka kwao, ni lazima mtoe sehemu ya kumi ya hiyo zaka kama sadaka kwa Bwana, iwe zaka ya hiyo zaka.

  2. Sadaka yenu itahesabiwa kwenu kama nafaka kutoka sakafu ya kupuria, au divai kutoka kwenye shinikizo la kukamulia zabibu.