Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tithe: The pious governors of Israel caused the payment of

3 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu The pious governors of Israel caused the payment of

  1. Mara tu baada ya kutolewa tangazo hilo, Waisraeli wakatoa kwa ukarimu malimbuko ya nafaka zao, divai mpya, mafuta na asali pamoja na vyote vilivyotoka mashambani. Wakaleta kiasi kikubwa cha fungu la kumi la kila kitu.

  2. Basi niliwakemea maafisa na kuwauliza, “Kwa nini nyumba ya Mungu imepuuzwa?” Kisha niliwaita pamoja na kuwaweka kwenye nafasi zao.

  3. Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala.