Mistari ya Biblia kuhusu The Wind: (Feeding upon) of vain hopes
Mistari kuhusu (Feeding upon) of vain hopes
Efraimu anajilisha upepo; hufukuzia upepo wa mashariki kutwa nzima na kuzidisha uongo na jeuri. Anafanya mkataba na Ashuru na kutuma mafuta ya zeituni Misri.