Egypt
Anajulikana pia kama: Egyptian
27.0800, 34.7700 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Egypt
Bwana atakausha ghuba ya bahari ya Misri; kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake juu ya Mto Frati. Ataugawanya katika vijito saba ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu.