Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sadducees: Cautioned his disciples against their principles

3 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu Cautioned his disciples against their principles

  1. Yesu akawaambia, “Jihadharini. Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na ya Masadukayo.”

  2. Inakuwaje mnashindwa kuelewa kwamba nilikuwa sisemi nanyi habari za mikate? Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.”

  3. Ndipo wakaelewa kwamba alikuwa hasemi juu ya chachu ya kutengeneza mikate, bali juu ya mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.