Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The River Nile: Drank of

2 mistari · 19 vipengele

Tafuta "The River Nile"

Mistari kuhusu Drank of

  1. Samaki katika Mto Naili wakafa, nao mto ukanuka vibaya sana kiasi kwamba Wamisri hawakuweza kunywa maji yake. Damu ilikuwa kila mahali katika nchi ya Misri.

  2. Nao Wamisri wote wakachimba kandokando ya Mto Naili kupata maji ya kunywa, kwa sababu hawakuweza kunywa maji ya mto.