Mistari ya Biblia kuhusu The River Nile: The Egyptian sea
Mistari kuhusu The Egyptian sea
Bwana atakausha ghuba ya bahari ya Misri; kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake juu ya Mto Frati. Ataugawanya katika vijito saba ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu.