Mistari ya Biblia kuhusu The Power of the Holy Spirit: Working miracles
Mistari kuhusu Working miracles
kwa nguvu za ishara na miujiza, kwa uweza wa Roho wa Mungu, hivyo kuanzia Yerusalemu hadi maeneo yote ya kandokando yake mpaka Iliriko, nimekwisha kuihubiri Injili ya Kristo kwa ukamilifu.