Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of the Holy Spirit: Making the gospel efficacious

2 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu Making the gospel efficacious

  1. Kuhubiri kwangu na ujumbe wangu haukuwa kwa hekima na maneno ya ushawishi bali kwa madhihirisho ya nguvu za Roho

  2. kwa sababu ujumbe wetu wa Injili haukuja kwenu kwa maneno matupu bali pia ulidhihirishwa katika nguvu na katika Roho Mtakatifu, tena ukiwa na uthibitisho kamili, kama vile ninyi wenyewe mnavyojua jinsi tulivyoenenda katikati yenu kwa ajili yenu.