Mistari ya Biblia kuhusu The Palm Tree: Spread before Christ
Mistari kuhusu Spread before Christ
Basi wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki, huku wakipaza sauti wakisema, “Hosana!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” “Amebarikiwa Mfalme wa Israeli!”