Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Olive Tree: In olive yards

2 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu In olive yards

  1. Atayachukua mashamba yenu yaliyo mazuri, mashamba ya mizabibu na mashamba yenu ya mizeituni na kuwapa watumishi wake.

  2. Warudishieni mara moja mashamba yao, mashamba yao ya mizabibu, mashamba yao ya mizeituni, na nyumba zao, pia riba yao mnayowatoza na sehemu ya fungu la mia la fedha, nafaka, divai mpya na mafuta.”