Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Olive Tree: Bearing goodly fruit

2 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Bearing goodly fruit

  1. Bwana alikuita mti wa mzeituni uliostawi ulio na matunda mazuri kwa sura. Lakini kwa ngurumo ya mawimbi makuu atautia moto, nayo matawi yake yatavunjika.

  2. Je, ndugu zangu, mtini waweza kuzaa zeituni, au mzabibu kuzaa tini? Wala chemchemi ya maji ya chumvi haiwezi kutoa maji matamu.