Mistari ya Biblia kuhusu The Olive Tree: Kings of Israel largely cultivated
Mistari kuhusu Kings of Israel largely cultivated
Baal-Hanani Mgederi ndiye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya mfalme ya mizeituni na mikuyu katika tambarare za vilima vya magharibi. Yoashi alikuwa msimamizi wa ghala za mafuta ya zeituni.