Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu The Moth

8 mistari · 6 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba za udongo wa mfinyanzi, ambazo misingi yake ipo mavumbini, ambao wamepondwa kama nondo!

  2. “Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, kama vazi lililoliwa na nondo.

  3. Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, kama kibanda alichotengeneza mlinzi.

  4. Ni Bwana Mwenyezi anisaidiaye mimi. Ni nani huyo atakayenihukumu? Wote watachakaa kama vazi, nondo watawala wawamalize.

  5. Kwa maana nondo atawala kama vazi, nao funza atawatafuna kama sufu. Lakini haki yangu itadumu milele, wokovu wangu kwa vizazi vyote.”

  6. Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda.

  7. “Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.

  8. Utajiri wenu umeoza na mavazi yenu yameliwa na nondo.