Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Feast of the Passover: In the wilderness of Sinai

3 mistari · 43 vipengele

Mistari kuhusu In the wilderness of Sinai

  1. Adhimisheni wakati ulioamriwa, yaani wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi huu, kufuatana na desturi zake zote na masharti yake.”

  2. Hivyo Mose akawaambia Waisraeli waiadhimishe Pasaka,

  3. nao wakafanya hivyo kwenye Jangwa la Sinai wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. Waisraeli wakafanya kila kitu kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.