Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu The, Are Compared To Wicked: Dross

3 mistari · 55 vipengele

Mistari kuhusu Dross

  1. Waovu wa nchi unawatupa kama takataka, kwa hivyo nazipenda sheria zako.

  2. “Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa kwangu takataka ya chuma, wote kwangu wamekuwa shaba, bati, chuma na risasi iliyoachwa kalibuni. Wao ni taka ya madini ya fedha tu.

  3. Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa kuwa wote mmekuwa takataka ya chuma, nitawakusanya Yerusalemu.