Mistari ya Biblia kuhusu The, Are Compared To Wicked: Chaff
Mistari kuhusu Chaff
Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, kama makapi yachukuliwayo na dhoruba?
Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Pepeto lake liko mkononi mwake, naye atasafisha sakafu yake ya kupuria, na kuikusanya ngano ghalani na kuyateketeza makapi kwa moto usiozimika.”