Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Apostles: The Holy Spirit given to

4 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu The Holy Spirit given to

  1. Siku ya Pentekoste ilipowadia, waamini wote walikuwa mahali pamoja.

  2. Ghafula sauti kama mvumo mkubwa wa upepo mkali uliotoka mbinguni ukaijaza nyumba yote walimokuwa wameketi.

  3. Zikatokea ndimi kama za moto zilizogawanyika na kukaa juu ya kila mmoja wao.

  4. Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.