Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Afflictions of the Wicked: Their persecution of saints, a cause of

4 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu Their persecution of saints, a cause of

  1. Bwana Mungu wako ataweka laana hizi zote juu ya adui zako ambao wanakuchukia na kukutesa.

  2. Mungu anayemiliki milele, atawasikia na kuwaadhibu, watu ambao hawabadilishi njia zao, wala hawana hofu ya Mungu.

  3. hakika nitauinua mkono wangu dhidi yao ili watumwa wao wawateke nyara. Ndipo mtakapojua ya kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma.

  4. Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wawatesao ninyi