Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Afflictions of the Wicked: Are often sudden

4 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu Are often sudden

  1. Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.

  2. Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada.

  3. dhambi hii itakuwa kwenu kama ukuta mrefu, wenye ufa na wenye kubetuka, ambao unaanguka ghafula, mara moja.

  4. Kwa hofu kubwa ya mateso yake, watasimama mbali na kulia na wakisema: “ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, ee Babeli mji wenye nguvu! Hukumu yako imekuja katika saa moja!’