Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Affections: Upon the commandments of God

7 mistari · 16 vipengele

Mistari kuhusu Upon the commandments of God

  1. Maagizo ya Bwana ni kamili, nayo hufurahisha moyo. Amri za Bwana huangaza, zatia nuru machoni.

  2. Kumcha Bwana ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za Bwana ni za hakika, nazo zina haki.

  3. Ni za thamani kuliko dhahabu, kuliko dhahabu iliyo safi sana, ni tamu kuliko asali, kuliko asali kutoka kwenye sega.

  4. Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa juu ya sheria zako wakati wote.

  5. Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu. Ninaitafakari mchana kutwa.

  6. Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu, matamu kuliko asali katika kinywa changu!

  7. Ninazitii sheria zako, kwa sababu ninazipenda mno.