Mistari ya Biblia kuhusu The Affections: Upon heavenly things
Mistari kuhusu Upon heavenly things
Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.
Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani.