Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Synagogues: Preached and taught in

3 mistari · 27 vipengele

Mistari kuhusu Preached and taught in

  1. Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.

  2. Kwa hiyo akazunguka Galilaya kote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu.

  3. Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato.