Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Swine: The Gergesenes punished for having

4 mistari · 22 vipengele

Mistari kuhusu The Gergesenes punished for having

  1. Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu, “Ukitutoa humu, turuhusu twende kwenye lile kundi la nguruwe.”

  2. Akawaambia, “Nendeni!” Hivyo wakatoka na kuwaingia wale nguruwe, nalo kundi lote likateremka gengeni kwa kasi, likaingia katika ziwa na kufa ndani ya maji.

  3. Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.

  4. Wale watu waliokuwa wakichunga hao nguruwe wakakimbilia mjini na vijijini kueleza yaliyotukia. Watu wakatoka kwenda kuona hayo yaliyokuwa yametukia.