Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Spikenard

5 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Wakati mfalme alipokuwa mezani pake, manukato yangu yalisambaza harufu yake nzuri.

  2. Mimea yako ni bustani ya mikomamanga yenye matunda mazuri sana, yenye hina na nardo,

  3. nardo na zafarani, mchai na mdalasini, pamoja na kila aina ya mti wa uvumba, manemane na udi, na aina zote za vikolezo bora kuliko vyote.

  4. Yesu alikuwa Bethania nyumbani kwa Simoni aliyekuwa na ukoma. Wakati alipokuwa ameketi mezani akila chakula cha jioni, mwanamke mmoja aliingia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya nardo safi ya thamani kubwa. Akaivunja hiyo chupa, akamiminia hayo manukato kichwani mwa Yesu.

  5. Kisha Maria akachukua chupa ya painti moja yenye manukato ya nardo safi ya thamani kubwa, akayamimina miguuni mwa Yesu na kuifuta kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu nzuri ya manukato.