Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Soldiers: Levies of, in the ratio of one man to ten subject to duty

1 mstari · 13 vipengele

Mistari kuhusu Levies of, in the ratio of one man to ten subject to duty

  1. Tutatoa watu kumi katika kila 100 kutoka kwenye kabila zote za Israeli, watu 100 katika watu 1,000 na watu 1,000 katika 10,000, ili waende wakalete mahitaji kwa ajili ya jeshi. Basi wakati jeshi litakapofika Gibea ya Benyamini, watawatendea yale wanayostahili, kwa ajili ya uovu huu wa aibu waliotenda katika Israeli.”