Skip to content

Golgotha

3 verses

31.7700, 35.2300 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Golgotha

  1. Wakafika mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).

  2. Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).

  3. Yesu, akiwa ameubeba msalaba wake, akatoka kuelekea mahali palipoitwa Fuvu la Kichwa (kwa Kiebrania ni Golgotha).