Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sihon

27 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Tuliwaangamiza kabisa, kama tulivyomfanyia Sihoni mfalme wa Heshboni, tukiangamiza kila mji, yaani wanaume, wanawake na watoto.

  2. Hivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki ya Yordani, kutoka Bonde la Arnoni mpaka kufika kwenye Mlima Hermoni.