Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sibbechai: Called also Sibbecai, a captain in David's army.

4 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu Called also Sibbecai, a captain in David's army.

  1. Baada ya muda, kukawa na vita nyingine na Wafilisti, huko Gobu. Wakati huo Sibekai, Mhushathi, akamuua Safu, mmoja wa wazao wa Warefai.

  2. Sibekai Mhushathi, Ilai Mwahohi,

  3. Baada ya muda, kulitokea vita dhidi ya Wafilisti, huko Gezeri. Wakati huo Sibekai, Mhushathi, akamuua Sipai, aliyekuwa mmoja wa wazao wa Warefai, nao Wafilisti wakashindwa.

  4. Jemadari wa nane kwa mwezi wa nane, alikuwa Sibekai Mhushathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.