Mistari ya Biblia kuhusu Ships: The tackling
Mistari kuhusu The tackling
Kamba zenu za merikebu zimelegea: Mlingoti haukusimama imara, nalo tanga halikukunjuliwa. Wingi wa mateka yatagawanywa, hata yeye aliye mlemavu atachukua nyara.
Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.