Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shepherds: Searching them out when lost and straying

3 mistari · 24 vipengele

Mistari kuhusu Searching them out when lost and straying

  1. Kama vile mchungaji atafutavyo kundi lake lililotawanyika wakati akiwa pamoja nalo, hivyo ndivyo nitakavyowatafuta kondoo wangu. Nitawaokoa kutoka mahali pote walipokuwa wametawanyikia katika siku ya mawingu na giza nene.

  2. “Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea mpaka ampate?

  3. Naye akishampata, humbeba mabegani mwake kwa furaha