Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shemida: Called also Shemidah. Son of Gilead.

3 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu Called also Shemidah. Son of Gilead.

  1. kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi.

  2. Kwa hiyo mgawo huu ulikuwa kwa ajili ya watu wa Manase waliokuwa wamebaki, ambao ni koo za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Shekemu, Heferi na Shemida. Hawa ndio wanaume wale wengine wa uzao wa Manase mwana wa Yosefu kwa koo zao.

  3. Wana wa Shemida walikuwa: Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu.