Skip to content

Shemida

3 mistari · 10 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Shemidah

Mistari inayomtaja Shemida

  1. kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi.

  2. Kwa hiyo mgawo huu ulikuwa kwa ajili ya watu wa Manase waliokuwa wamebaki, ambao ni koo za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Shekemu, Heferi na Shemida. Hawa ndio wanaume wale wengine wa uzao wa Manase mwana wa Yosefu kwa koo zao.

  3. Wana wa Shemida walikuwa: Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu.