Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Shemida

3 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi.

  2. Kwa hiyo mgawo huu ulikuwa kwa ajili ya watu wa Manase waliokuwa wamebaki, ambao ni koo za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Shekemu, Heferi na Shemida. Hawa ndio wanaume wale wengine wa uzao wa Manase mwana wa Yosefu kwa koo zao.

  3. Wana wa Shemida walikuwa: Ahiani, Shekemu, Liki na Aniamu.