Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shechem: 4. Ancestor of the Shechemites

2 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 4. Ancestor of the Shechemites

  1. kutoka kwa Asirieli, ukoo wa Waasirieli; kutoka kwa Shekemu, ukoo wa Washekemu;

  2. Kwa hiyo mgawo huu ulikuwa kwa ajili ya watu wa Manase waliokuwa wamebaki, ambao ni koo za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Shekemu, Heferi na Shemida. Hawa ndio wanaume wale wengine wa uzao wa Manase mwana wa Yosefu kwa koo zao.