Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Self-Delusion: Obstinate sinners often given up to

5 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu Obstinate sinners often given up to

  1. “Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii.

  2. Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe.

  3. Efraimu amejiunga na sanamu, ondokana naye!

  4. na kila aina ya uovu kwa wale wanaoangamia kwa sababu walikataa kuipenda kweli wapate kuokolewa.

  5. Kwa sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo,